Maelezo ya jumla Echocardiogram hutumia mawimbi ya sauti ili kuzalisha picha ya moyo. Kipimo hiki humruhusu daktari kuuchunguza moyo ukipiga na kusukuma damu. Daktari anaweza kutumia picha za Echo kutambua
Maabara|Vipimo
Maelezo kuhusu vipimo vya kiafya, jinsi vinavyofanyika, na umuhimu wa matokeo yake katika utambuzi wa magonjwa.
Digital rectal examination (DRE) ni uchunguzi wa njia ya haja kubwa kwa kidole unaofanywa na daktari au mtaalamu wa huduma ya afya. Mgonjwa huwekwa katika mkao unaomruhusu daktari kufanya uchunguzi
Kipimo cha electrocardiogram ni nini? Kipimo cha electrocardiogram - hufupishwa kama EKG au ECG - ni kipimo kinachopima shughuli ya umeme kwenye moyo. Kwa kila pigo la moyo, wimbi la
Eksirei ni nini? Kipimo cha eksirei (X-ray) ni kipimo cha picha ambacho kimetumika kwa miongo mingi. Kinamsaidia daktari kutazama ndani ya mwili wa mgonjwa bila ya kufanya upasuaji wowote. Hii
Maelezo ya jumla Darubini (Microscope) ni chombo kinachotumika kuangalia vitu ambavyo ni vidogo sana kuonekana kwa macho pekee . Sayansi ya kuchunguza vitu vidogo kwa kutumia chombo hiki inaitwa microscopy.