Jicho jekundu ni nini? Jicho jekundu ni hali inayotokana na kuvimba kwa utando mwepesi unaofunika jicho na sehemu ya ndani ya kope. Jicho jekundu ni hali inayotambulika pia kama konjaktivaitisi.
Macho
Taarifa juu ya afya ya macho, magonjwa yanayoathiri macho, na jinsi ya kuyatunza.
Macho mekundu ni nini? Macho mekundu ni hali inayotokana na kuvimba kwa utando mwepesi unaofunika jicho na sehemu ya ndani ya kope. Macho mekundu ni hali inayotambulika pia kama konjaktivaitisi.
Macho makengeza ni nini? Macho makengeza (amblyopia) ni hali ya kupoteza uwezo wa kuona katika jicho moja. Kwa watoto na watu wazima, ni hali inayosababisha matatizo ya uoni kwa watu
Ugonjwa wa trakoma ni nini? Ugonjwa wa trakoma ni ugonjwa wa macho unaosababishwa na bakteria, ambao wanasababisha kope kukua kwa kwenda ndani, kuwashwa kwenye jicho, maumivu na hatimaye upofu. Maambukizi
Ugonjwa wa glaukoma (presha ya macho) ni nini? Ugonjwa wa glaukoma (presha ya macho) - Ni ugonjwa wa macho ambao huharibu mshipa mkuu wa neva ya kuona, na mara nyingi
Kupungua kwa uwezo wa kuona na upofu ni nini? Kupungua kwa uwezo wa kuona ni neno linalotumiwa kuwakilisha watu wenye tatizo la kupungua uoni au upofu. Watu wenye tatizo la
Matatizo ya lenzi za macho ‘’contact lens ‘’ Sababu kubwa ya matatizo ya lenzi za macho yanatokana na lenzi ambayo haikai sawa kwenye jicho, lenzi ambayo haifanyiwi usafi vizuri, lenzi
Maelezo ya jumla Kutoa/ kuondoa kitu jichoni - kama ukiingiliwa na kitu jichoni, kinaweza kuleta usumbufu , kikasababisha wekundu kwenye jicho, kutokwa machozi na hata kupunguza uwezo wa kuona. Mara
Maelezo ya jumla Tatizo la ukavu wa macho / kupungua kwa machozi - macho yanaweza kuwa makavu unapokuwa hautengenezi machozi ya kutosha au kama machozi unayotengeneza hayalowanishi macho vizuri. Ukiwa
Maelezo ya jumla Kuwashwa macho - macho yanayowasha mara nyingi utakuta ni mekundu, yanawasha na unahisi kama yanaungua hivi. Unahisi kujikuna kila mara. Kitu chochote kinachosumbua macho, kama vile hali
Load More