Maelezo ya jumla Tatizo la kucheza kamari (pathological gambling) ni hali ya kushindwa kujizuia kucheza kamari. Kushindwa kuzuia msukumo wa kutaka kucheza kamali kunaweza kusababisha matatizo makubwa ya kibnafsi na
Magonjwa ya akili
Elimu kuhusu matatizo ya akili, dalili zake, matibabu, na msaada wa kisaikolojia.
Maelezo ya jumla Kuomboleza ni mwitikio anaokuwa nao mtu baada ya kupoteza/kuondokewa/kuachwa. Mara nyingi ni mwitikio wa huzuni na hisia za machungu. Dalili za kuomboleza ni nini? Kuna hatua tano
Maelezo ya jumla Ndoto za kutisha ni ndoto zinazotokea ukiwa umelalal zinazoamsha hisia kali za hofu, woga, msongo na za kutisha. Ndoto za kutisha mara nyingi hutokea wakati wa sehemu
Maelezo ya jumla kuhusu dawa za kulevya aina ya methamphetamine Dawa za kulevya aina ya methamphetamine ina majina mengi tofauti: speed, crystal, crystal meth, crank, tweak, go-fast, ice, glass, uppers,
Maelezo ya jumla Bhangi ndiyo mhadarati unaotumiwa vibaya zaidi kati ya vijana duniani. Vijana hutumia bangi kwa sababu nyingi. Huenda waitumie kwa vile wana tamaa ya kujua inavyohisi, kufanana na
Dalili kwamba Huenda Mtu Anafikiria Kujiua/kujinyonga Dalili kwamba huenda mtu anafikiria kujiua/kujinyonga ni kama zifuatazo: Anazungumzia kuhusu kutaka kufa au kujiua/kujinyonga Anatafuta njia ya kujiua, kwa kufanya utafiti kwenye mtandao
Maelezo ya jumla Wakati mwingi watu hunywa pombe ili waburudike na marafiki zao au watulize machungu fulani au ili iwasaidie kupata kupata usingizi na kuepuka ndoto mbaya au sababu nyingine
Kutawaliwa (kupata uraibu) ni nini? Kutawaliwa (kupata uraibu) ni tatizo la mtu kutoweza kuacha kunywa pombe au kutumia mihadrati/dawa za kulevya hata kama angependa kufanya hivyo. Haja/tamaa/hamu ya kunywa au
Maelezo ya jumla kuhusu madhara ya tumbaku/sigara Tumbaku/sigara inaua haijalishi inatumiwa kwa njia gani. Bidhaa za tumbaku/sigara zinazovutwa, huwa na kemikali 7000, zikiwemo angalau kemikali 250 ambazo zinajulikana kuwa sumu
Ugonjwa wa akili ni nini? Ugonjwa wa akili kwa kiasi kikubwa huathiri kufikiri kwa mtu, hali ya hisia na tabia, na kuvuruga uwezo wa mtu kufanya kazi au kutekeleza shughuli
Load More