Jinsi ya kutibu na kuepuka maumivu Maumivu ni hali ya kawaida ambayo huathiri watu wengi. Maumivu yanaweza kuwa ya aina mbalimbali kama vile maumivu ya kichwa, maumivu ya tumbo, maumivu
Magonjwa ya dharura
Mwongozo wa kushughulikia magonjwa na hali za dharura zinazohitaji tiba ya haraka.
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa mionzi (radiation injury) husababisha dalili kwa sababu ya kukutana na mionzi kwa kiasi kikubwa. Kuna aina kuu mbili za mionzi: mionzi isiyoumiza (nonionizing) na mionzi
Maelezo ya jumla Kuzama kwenye maji humaanisha kuwa mtu karibia afie ndani ya maji kwa sababu ya kushindwa kupumua ndani ya maji. Kama mtu ameokolewa baada ya tukio la kuzama
Niepuke vipi kuumwa na nyoka? Unaweza kufanya yafuatayo ili kupunguza uwezekano wa kuumwa na nyoka: Epuka kwenda kwenye maeneo wanapoishi nyoka. Maeno hay ani kama vile, nyasi ndefu au vichaka,
Maelezo ya jumla Ni rahisi sana kuumia jicho/ kupata jeraha la jicho yanayotokana na kupigwa. Macho yanaweza kupata majeraha pia yanayosababishwa na vitu vyenye ncha kali kama vile vipande vya
Maelezo ya jumla Kupigwa kichwani kunaweza kusababisha damu kuvia kwenye ngozi, jeraha la kichwa linalovuja damu au wakati mwingine kusababisha upoteze fahamu kabisa. Kuna hatari ya kuvunjika kwa fuvu la
Maelezo ya jumla Kuvunjika mfupa ni hali ya kupata ufa au mvujiko kwenye mfupa kwa sababu ya kupigwa na kitu kizito au kwa sababu ya kukunja au kuzungusha mfupa kwa
Maelezo ya jumla Kupoteza fahamu ni tatizo linaloweza kutishia maisha. Tatizo hili linaweza kusababishwa na sababu nyingi, hii ni pamoja na jeraha baya la kichwa; kuvuja damu nyingi sana; kupungua
Maelezo ya jumla Mmenyuko mkali wa mzio ni tatizo linalowapata baadhi ya watu. Baadhi ya watu hupatwa na hali hatari inayoweza kuhatarisha maisha baada ya kuumwa na mdudu, kula baadhi
Maelezo ya jumla Kuumwa na mdudu kama nyigu au nyuki huleta maumivu, na eneo lililoumwa linaweza kuvimba, kuwa jekundu na linalowasha kwa siku 1 au 2. Ukiumwa na kiroboto na
Load More