Maelezo ya jumla Saratani ya uke ni kansa inayotokea kwa nadra sana. Haina dalili za awali. Uke unaanzia kwenye mlango wa kizazi mpaka kwenye k*ma. Uke una urefu wa kati
Magonjwa ya wanawake
Elimu kuhusu afya ya wanawake, magonjwa yanayowahusu, na jinsi ya kujilinda.
Je, watu walioambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) wanaweza kupata au kuzaa watoto ambao hawana virusi? Ndio. Hii ni mojawapo ya faida nyingi za matibabu ya virusi vya ukimwi (tumia dawa
Uchungu/maumivu wakati wa kujifungua yatakuwa makali kiasi gani? Hakuna njia nzuri ya kutambua maumivu yatakuwa makali kiasi gani wakati wa kujifungua. Uchungu/maumivu wakati wa kujifungua yanatofautiana kwa kila mwanamke. Baadhi
Ugonjwa wa PID (Pelvic inflammatory disease) ni nini? Ugonjwa wa PID (Pelvic inflammatory disease) ni maambukizi yanayowapata wanawake wengi, yanayotokea kwenye viungo vya ndani vilivyopo kwenye nyonga ya mwanamke. Kwa
Kutoka kwa mimba/ujauzito ni nini? Kutoka kwa mimba/ujauzito ni hali inayotokea ujauzito unapoacha kukua. Hali hii inatambuliwa baada ya mwanamke kutokwa damu katika hatua za mwanzo za ujauzito, au inaweza
Ni nini husababisha kutokwa damu katika hatua za mwanzo za ujauzito? Karibu mwanamke mmoja kati ya wanne watapata tatizo la kutokwa damu katika hatua za mwanzo za ujauzito/ mimba. Hasa
Ugonjwa wa sonona (huzuni) baada ya kujifungua ni nini? Ugonjwa wa sonona (huzuni) baada ya kujifungua ni aina ya sonona kali inayotokea baada ya kujifungua. Karibu wanawake wanne kati ya
Maelezo ya jumla kuhusu ugonjwa wa klamidia Ugonjwa wa klamidia ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na bakteria. Mara nyingi hauna dalili. Unaweza kusababisha maumivu wakati wa kukojoa, usaa utoka kwenye
Ujauzito kutungwa nje ya mji wa mimba ina maana gani? Ujauzito kutungwa nje ya mji wa mimba ni pale mtoto anapotungwa na kupandikizwa katika sehemu tofauti mwilini. Katika ujauzito wa
Mimba/ujauzito uliozidi umri wa kujifungua ni nini? Mimba/ujauzito uliozidi umri wa kujifungua ni mimba iliyozidi wiki mbili baada ya siku tarajiwa ya kujifungua au baada ya wiki 40 za ujauzito.
Load More