Maelezo ya jumla Kutoboka/kupasuka kwa ngoma ya sikio ni kutokea kwa upenyo au tobo kwenye ngoma ya sikio, ngoma ya sikio hutenganisha sehemu ya nje na ya ndani ya sikio.
Masikio, pua, koo
Mwongozo kuhusu matatizo ya masikio, pua, na koo na njia za kutibu.
Maelezo ya jumla Maumivu wakati wa kumeza yanaweza kuhisiwa mdomoni, kooni, au kwenye umio. Unaweza kuhisi maumivu unapokunywa au kula chakula. Wakati mwingine, tatizo la kushindwa kumeza linaweza kuambatana na
Maelezo ya jumla Ukiziwi ni hali ya kushindwa kusikia vizuri au kushindwa kabisa kusikia sauti kwenye sikio moja au yote mawili. Je, ni zipi dalili za ukiziwi? Dalili za ukiziwi
Maelezo ya jumla Sio kwamba wanaopata ugonjwa wa masikio ‘’otitis externa’’ ni wanaoogelea pekee. Unapooga au kuosha nywele, unyevunyevu unaobakia kwenye masikio unaweza kuwa na vimelea ambao wakiingia sikioni wanaweza
Maelezo ya jumla Kwa kawaida nta masikioni hutengenezwa kwa kiwango kidogo tu ili kulinda sikio na kisha kutawanyika yenyewe. Lakini kama nta inayotengenezwa kwenye sikio ni nyingi sana, inaweza kujaa
Maelezo ya jumla Kuvimba kilimi / Kuvimba kimeo ni hali inaweza kukera sana . Kuvimba kilimi (uvulitis) mara nyingi huambatana na kuvimba kwa eneo la koromeo (phyrinx), mafindofindo (tonsilitis), kidaka
Maeleo ya jumla Kama unatatizo la kusikia kelele masikioni au kichwani (tinnitus), unahisi kama kengele inapigiwa masikioni, sauti ''buzzz'' kama mdudu anayeruka au sauti ''hissss'' kama nyoka. Unasikia sauti kama
Maelezo ya jumla Maumivu ya sikio moja au yote mawili na kushindwa kusikia mara nyingi hutokana na maambukizi kwenye sehemu ya kati ya sikio ‘’middle-ear infection’’. Unaweza kuwa na homa
Maelezo ya jumla Kuingiliwa na kitu sikioni ni tatizo. Kama kitu kitaingia na kung’ang’ania ndani ya sikio kinaweza kusababisha usumbufu na kusababisha ushindwe kusikia kwa kitambo kama kitaziba njia nya
Maelezo ya jumla Vidonda vya homa / vidonda baridi / tukuto, huanza kwa kuwepo kwa mwasho karibu na midomo, kisha kunatokea mkusanyiko wa vipele vidogo ambavyo baada ya muda vinatengeneza
Load More