Nyinginezo

Maelezo ya mada mbalimbali za afya ambazo hazijumuishwi katika jamii nyingine.

Nyinginezo

MFUMO WA UZAZI

Mfumo wa uzazi Mfumo wa uzazi wa mwanamke na mwanamme hufanya kazi pamoja kupata mtoto. Mfumo  wa mwanamke na mwanamme hujumuisha viungo vinavyotengeneza seli za uzazi, viungo vinavyotunza au kusafirisha