Maelezo ya jumla Kukatwa mguu ni hali ya kukata na kuondoa mguu, kanyagio au vidole kutoka mwilini. Je, kukatwa mguu kunafanyikaje? Kukatwa mguu kunafanyika wakati wa upasuaji au wakati wa
Upasuaji
Taarifa kuhusu taratibu za upasuaji, maandalizi, na huduma baada ya upasuaji.
Moyo Moyo ni pump ndogo inayolingana na ngumi inayosukuma damu mwilini Mfumo wa kuzungusha damu mwilini umeundwa na mishipa ya damu inayotoa na kupeleka damu kwenye moyo. Mishipa ya ateri
Kutoboa/kutoga mwili ili kuweka urembo ni nini? Kutoboa/kutoga mwili ni hali ya kutoboa tundu kwenye ngozi ili kuweka urembo kama pambo. Ni maeneo gani ya mwili yanayohusika wakati wa Kutoboa/kutoga
Nisafishe vipi kidonda nikiwa nyumbani? Dumbukiza kidonda kwenye maji ya uvuguvugu. Tumia sabuni na kitambaa laini kusafisha ngozi inayozunguka kidonda. Jaribu kuhakikisha sabuni haingii kwenye kidonda. Muulize daktari kama unapasawa
Upasuaji wa kupunguza uzito wa mwili ni nini? Upasuaji wa kupunguza uzito wa mwili hupunguza ukubwa wa tumbo na kulifanya liwe dogo na kubadili homoni zinazopeleka taarifa za njaa. Kuna
Maelezo ya jumla Kuvuja damu kutoka puani ni jambo la kawaida sana kwa watoto, lakini watu wazima pia wanapatwa na hii hali mara chache pia. Sababu za kawaida ni pamoja
Maelezo ya jumla Kuchangia damu (blood donation) ni utaratibu wa hiari unaoweza kuokoa maisha ya wengine. Kuna aina kadhaa za uchangiaji wa damu, unaosaidia kukidhi mahitaji mbalimbali ya kitabibu. Aina
Maelezo ya jumla Kidondamalazi (Bedsore) ni kidonda kinachotokea kwenye ngozi baada ya shinikizo la muda mrefu linalotokana na kutokujongea kwa muda mrefu (mf: Kuketi au kulala kwa muda mrefu bila
Maelezo ya jumla Mdomo wazi au mdomo sungura (cleft lip and palate) ni kasoro ya kuzaliwa nayo inayoathiri mdomo wa juu wa kinywa na kaakaa au paa la kinywa. Mdomo
Maelezo ya jumla Ngiri (hernia) ni hali inayotokea kama kuna uwazi au udhaifu kwenye ukuta wa tumbo na kusababisha viungo vya ndani ya tumbo kuchoropoka na kutokeza nje ya ukuta
Load More