Maelezo ya jumla Ukimwi kwa watoto ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vya ukimwi. Ugonjwa huu unaweza kuambukizwa kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto wakati wa kuzaliwa, kunyonyesha au wakati
Watoto
Habari kuhusu afya ya watoto, ukuaji wao, na magonjwa yanayowakumba.
Maelezo ya jumla Maambukizi ya virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yanaweza kuzuiliwa kwa kufuata taratibu za matibabu na kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya. Hapa chini
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa Malaria kwa Watoto Wachanga ni ugonjwa hatari unaosababishwa na mbu wa kike wa aina ya Anopheles anapomuuma mtu aliyeambukizwa. Ugonjwa huu husababisha homa, maumivu ya
Ugonjwa wa pepopunda kwa watoto wachanga ni nini? Pepopunda ni ugonjwa wa hatari unaoambukiza. Ugonjwa huu unasababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa “clostridium tetani”. Vimelea hivi huingia mwilini kupitia kwenye
Umuhimu wa chanjo - Mambo ya msingi Chanjo ni Nini? Chanjo huzuia mtu mwenye afya asipate magonjwa fulani kwa kufundisha mwili jinsi ya kutambua na kupambana nayo. Kwa kawaida huwa
Baada ya miezi 6 mpe vyakula vya aina mbali mbali kila siku Kumlisha mtoto baada ya miezi 6 - Baada ya miezi 6 watoto wanahitaji aina nyingine ya vyakula pamoja
Haki za mtoto - Mtoto ni nani? Mtoto ni mtu yeyote mwenye umri wa chini ya miaka kumi na nane (18). Tafsiri hii imetokana na Mkataba wa Kimataifa wa Haki
Ugonjwa wa Kawasaki ni nini? Ugonjwa wa Kawasaki ni ugonjwa ambao ni nadra sana unaowapata watoto wadogo chini ya umri wa miaka mitano. Ugonjwa huu unasababisha kuvimba kwa mishipa ya
Maelezo ya jumla Minyoo inaishi kwenye tumbo na husambazwa kupitia mchanga, mikono, na wakati mwengine kupitia chakula ambacho hakijapikwa au kusafishwa vizuri. Kwa watoto, maambukizi ya minyoo husababisha uchovu, kuumwa
Ugonjwa wa dondakoo ni nini? Dondakoo (Diptheria) ni ugonjwa unaowapata watoto wadogo. Ugonjwa huu unasababishwa na vimelea ambavyo hujulikana kama “corynebacterium diphtheria” Vimelea hivi hushambulia sehemu za koo na huenezwa
Load More