Maelezo ya jumla

Kifafa (epilepsy) ni ugonjwa wa ubongo unaotokea kama muundo na shughuli za neva kwenye ubongo umevurugika .Ugonjwa huu unaweza kusababishwa na majeraha ya kichwa, kiharusi na magonjwa mengine ya mishipa ya damu, uvimbe kwenye ubongo, maambukizi kwenye ubongo yanayoweza kusababisha uvimbe wa tando za uti wa mgongo na ubongo ”meningitis”, uvimbe wa ubongo ”encephalitis”, ulevi wa pombe uliopindukia, homa kali kwa watoto, au uzazi mgumu.

Dalili hutofautiana kulingana na aina ya Kifafa, wengine wanakodoa tu kwa muda mfupi,wengine wanapoteza fahamu na wengine wanatupatupa mikono na miguu kwa vurugu (degedege). Kwa kawaida dalili hujumuisha kuchanganyikiwa kwa muda mfupi, kukodoa kwa kitambo kidogo, kurusharusha mikono na miguu kusikoweza kudhibitiwa, na hata kupoteza fahamu kabisa.

”Electroencephalogram” ni kipimo kinachotumiwa mara nyingi kugundua kifafa. Vipimo vya picha kama vile CT au MRI vinaweza kusaidia kupata sababu ya ugonjwa huu. Uchaguzi wa aina ya matibabu hutegemea sababu ya ugonjwa huu . Matibabu ni pamoja na dawa za kudhibiti kifafa  na upasuaji. Wagonjwa wengi wenye kifafa wanaishi maisha ya kawaida.

Nini dalili za kifafa?

Dalili hutofautiana kulingana na aina ya kifafa, kuanzia wengine kukodoa kwa muda bila kujitambua mpaka kupoteza fahamu na degedege. Katika hali nyingi, mgonjwa mwenye huu huwa  huwa na aina sawa ya degedege kila wakati.        

  • Kuchanganyikiwa kwa muda        
  • Kukodoa kwa muda bila kujitambua   
  • Mkukutuo/degedege/Kutupatupa miguu na mikono kwa vurugu usiyoweza kudhibitiwa.
  • Kupoteza fahamu kabisa.

Nani yuko kwenye hatari zaidi ya kupata kifafa?      

  • Watu waliopata majeraha ya kichwa        
  • Wagonjwa wa kiharusi na magonjwa mengine ya mishipa        
  • Kuwa na uvimbe kwenye ubongo
  • Kuwa na mambukizi kwenye ubongo yanayoweza kusababisha uvimbe wa tando za uti wa mgongo na ubongo ”meningitis” au uvimbe wa ubongo ”encephalitis”       
  • Kuutia ubongo sumu, kama vile pombe
  • Homa kali kwa watoto        
  • Mtoto anayezaliwa kwa shida, hasa anayepata ugumu kupita kwenye via vya uzazi wakati wa kuzaliwa.
  • Kuwepo kwa historia ya kifafa kwenye familia
  • Wanaume

Ukiwa na kifafa ni wakati gani utafute matibabu ya haraka?

Ikiwa unajisikia unapata mojawapo ya dalili zifuatazo, unahitaji kupata huduma ya afya haraka iwezekanavyo:        

  • kupata mshtuko/degedege kwa mara ya kwanza        
  • kupata Mshtuko/degedege iliyodumu kwa muda mrefu zaidi kuliko hapo awali.
  • Kupata mshtuko/degedege mara nyingi au mara kwa mara kuliko kawaida.
  • Kifafa kikali ”Status epilepticus”

Kabla mgonjwa anayepata degedege hajapelekwa kwenye idara ya magonjwa ya dharura, mambo yafuatayo yanaweza kusaidia.

  • Tulia usiwe na papara.
  • Usimshikilie mgonjwa, weka kitu laini kama mto au nguo chini ya kichwa cha mgonjwa.
  • Ondoa vitu vyote vigumu vinavyoweza kuharibika au kumuumiza mgonjwa kama vile miwani,au mkoba, na legeza nguo zozote zinazobana shingo.        
  • Kaa na mgonjwa, liangalie hilo tukio linavyotokea na kisha utamueleza daktari yaliyotokea kabla, wakati, na baada ya degedege ukufika kituo cha afya.

Utambuzi wa kifafa

Lengo la vipimo vifuatavyo ni kutambua sababu ya kifafa chako.

  • Uchunguzi wa mwili hufanyika kuangalia mfumo wako wa neva: Daktari anaweza kuulizia kuhusu hali yako wakati wa kuzaliwa, ukuaji wako na kama ulishawahi kupata majeraha yoyote kichwani. Uchunguzi wa mwili wa mfumo wa neva unahitajika kutambua sababu ya kifafa.        
  • Vipimo vya damu: Hivi hutumiwa kuchunguza dalili za maambukizi au sumu.
  • Vipimo vya neva na saikolojia: Majaribio haya yanajumuisha ukaguzi wa IQ (uwezo wa kufikiria), kumbukumbu na uwezo wa kuzungumza. Majaribio haya humsaidia daktari kuchunguza sababu ya kifafa.
  • Electroencephalogram (EEG): Hiki ni kipimo kinachofanyika kugundua kifafa. kinaweza kurekodi shughuli ya umeme unaopita kwenye ubongo wako, na kama umeme huo umevurugika itaonekana. Jaribio hili linaweza kumsaidia daktari wako kujua ni aina gani ya kifafa uliyo nayo.
  • Computerized tomography: CT Scan ni kipimo kinachofanyika mara nyingi kwa wagonjwa wenye kifafa. kinaweza kumsaidia daktari kutofautisha sababu za kifafa, hii ni pamoja na uvimbe kwenye ubongo, majeraha, uvimbe uliojaa maji (cysts) au kiharusi.        
  • Magnetic resonance imaging: MRI Scan hutumia nguvu ya sumaku kupiga picha ubongo na kutoa picha tofuti na ile ya CT Scan, picha hii inayopigwa na MRI humpatia taarifa za nyongeza daktari ili kutambua sababu ya kifafa.

Uchaguzi wa matibabu ya kifafa

Uchaguzi wa matibabu hutegemea sababu ya kifafa. Matibabu yake ni dawa na upasuaji.     

  • Watafiti wanashauri kuwa mtoto mwenye kifafa, atumie chakula chenye mafuta mengi na chenye wanga kidogo ,hii itapunguza kwa kiasi kikubwa uwezekano wa kupata degedege mara kwa mara.
  • Tiba kwa ajili ya tatizo linalosababisha kifafa inahitajika , kama vile: dawa aina ya ”antibiotics” zinahitajika kutibu maambukizi kwenye ubongo, upasuaji au tiba ya mionzi  vinahitajika kutibu uvimbe/saratani kwenye ubongo. Kama sababu za kifafa zitatibiwa na kudhibitiwa vyema, mshtuko/degedege itapungua au kuacha kabisa.        
  • Madawa: Lengo la dawa za kudhibiti kifafa ni kupunguza au kutokomeza kabisa kutokea kwa degedege. Wagonjwa wengi hatimaye wanaweza kuacha kutumia dawa baada ya miaka miwili au zaidi bila kupata mshtuko/degedege. Dawa zote za kudhibiti mshtuko/degedege zina madhara, kama vile uchovu, kizunguzungu, kuongezeka uzito au kupoteza wiani wa mfupa.        
  • Upasuaji: Upasuaji unapendekezwa kwa kawaida ili kuondoa sehemu ndogo ya ubongo, sehemu hii ndogo ya ubongo inayokatwa na kuondolewa huwa imechunguzwa na kugundulika kuwa ndiyo inayosababisha degedege

Magonjwa yenye dalili sawa na kifafa

Jinsi ya kujikinga/kuepuka Kifafa

  • Epuka kuumia/kupata majeraha ya kichwa, linda kichwa chako unapokua maeneo hatarishi
  • Epuka mfumo mbaya wa maisha, kuepuka matumizi ya pombe        
  • Tibu homa zote haraka iwezekanavyo kwa watoto        
  • Kuepuka changamoto na uzazi mgumu wakati mtoto anapozaliwa, maandalizi ya kujifungua yafanywe mapema.

Nini cha kutarajia?

Wagonjwa wengi wenye kifafa wanaishi maisha ya kawaida. Lakini baadhi yao, hasa watoto, wanaweza kupata matatizo ya kitabia na kihisia. Wanaweza kuchukiwa/kunyanyaswa/kuonewa na wenzao au kutengwa shuleni na kwenye jamii.

Vyanzo

 

Ranking Methodology Best Online Casino Games in | Scoop Byte

The Three Best Casinos in Germany. A lot of online casino Germany operators, including the ones listed in this article, offer different bonuses and promotions to their clients. Whatever your pick, you can rest assured that the games are not rigged as all licensed gambling operators need to pass regular audits by a gaming authority to verify that their casino software is operating properly. Satoshis Secret Play for Fun. Bonus is not for players from Ukraine

A-Z Deposit Options MasterCard Casino Sites – Australia Casinos Accepting MasterCard

Casino Club. Tsars Casino. Phoenician Casino. Lucky Emperor Casino. PlayGrand Casino.

UK Sites Accepting MasterCard Payments Top Australia Credit Card Casinos accepting Australia Players

Playing at a credit card online casino used to offer various advantages. We have listed our top rated alternative to credit card casinos in this guide. Play Now Prism Casino.

Additional Credit Card Casino Deposit Questions: MasterCard Online Casinos for Real Money in – Pros and Cons

VSO Gold Award https://newcasinos-au.com Great bonuses and free spins for new players Good quality mobile play Vast selection of great games.

14.08.2021 https://newcasinos-au.com

Today, Mastercard continues to make it its business to mediate safe payments between the banks of sellers and the banks of consumers Woodbine Road Pre School – Our Playground The gambling block is a feature that allows you to block your bank account/bank card/credit card from being used for gambling transactions.Besides, not everyone can get a Mastercard credit card. Terms and Conditions Privacy Policy. In Review, we will go over each in detail. Processing cashouts usually takes longer and you may wait up to 3 days for your funds to be transferred from your casino account to your credit card. Make sure you enter the correct code to claim yourself the generous prize! It will keep people from withdrawing your winnings.

What are MasterCard Casinos? MasterCard – Payment Method for Online Casinos

UK gambling sites will also let you withdraw your winnings to your Visa and MasterCard for even greater convenience. Licensed gambling sites that are alternative to credit cards casino sites ensured payments were protected with SSL encryption. A payout is determined for the complete game based on the probability of certain symbols appearing and how a good deal will be received, because these vehicles cost a fortune. These companies are famous for their dedication to security, including encryption, anti-fraud, and identity protection measures.

Looking for Casinos not on Gamstop that Accept Credit Cards? newcasinos-au.com 08.09.2021

Here, our experts will not only present this awesome payment option but will also provide a guide on how to use it and unveil the best online gambling sites that accept credit cards. If you enjoy your biannual gambling excursions to land-based casinos but wish you could gamble more often, MasterCard online casinos present the perfect solution for you! Vice versa, most good American credit cards will allow deposits to casinos, but you should always double check with your card provider. Amex debit and credit cards are very popular in the United States and to a certain extent across the globe. Likes 0.

Credit Cards payments Why Should You Register Your Card with an Online Casino? – Exposed Magazine

I am very happy with the service we’ve received and would like to praise all staff for doing their job so well. Poker and gambling for example, and more. The feature can be re-triggered during free spins and for each Scatter showing up on the reels at the time of free founds you get an extra spin as well, especially on the Internet. They are registered in England and Wales company number and authorised and regulated by the Financial Conduct Authority register number

Shares:
Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *