Maelezo ya jumla

Kuvunjika mfupa ni hali ya kupata ufa au mvujiko kwenye mfupa kwa sababu ya kupigwa na kitu kizito au kwa sababu ya kukunja au kuzungusha mfupa kwa ghafla. Mfupa uliovunjika unaweza kutoboa ngozi na kutokeza nje au unaweza usitokeze nje japo umevunjika.

Kuteguka mfupa ni hali ya kuvutwa au kutenganishwa kwa mifupa miwili ambayo kwa hali ya kawaida huwa imeungwa. Dalili za kuvujika au kuteguka mifupa ni pamoja na kuvimba, kuvia damu ndani ya ngozi na kuharibika au kubadilika kwa umbo au mwonekano wa eneo lililoumia, maumivu na kushindwa kujongesha au kutembeza eneo lililoathirika. Kwa mvunjiko mkubwa sana wa mfupa, kwa mfano wa mfupa wa paja, unaweza kusababisha kuvuja damu nyingi sana na hata kutishia maisha.

Mwone daktari haraka kama umevunjika mfupa

Pata msaada wa kitabibu haraka iwezekanavyo kama unadhani umevunjika mfupa au umeteguka maungio.

Mambo unayoweza kufanya wewe mwenyewe kama umevunjika mfupa

Kutibu mkono uliovunjika


Lengo kuu ni kuzuia damu kuvuja, kuutegemeza mkono uliovunjika na kumsafirisha mgonjwa kwenda kituo cha afya. Usimuhamishe mgonjwa kabla haujaufunga ua kuutegemeza mkono, isipokuwa kama yuko sehemu ambayo ni ya hatari. Unaweza kutibu mkono ulioteguka kwa njia hii hii. Usijaribu kuuzungusha, kuurudisha mahala pake au kuutengeneza mfupa uliovunjika.

  1. Kama mgonjwa anaweza kukunja mkono, mwambie aushikilie au kuutegemeza kwa kutumia mkono mwingine. Kama mfupa umetoboa ngozi na kutokeza nje, vaa glavu kama zipo na funika jeraha kwa kutumia kitambaa safi. Kandamiza au ongeza shinikizo kwenye jeraha ili kuzuia damu kuvuja, lakini, kuwa makini usibonyeze mfupa.
  2. Tengeneza manati kwa kutumia kitambaa au ‘’bandage’’ ili iweze kutumika kuubebea mkono kama inavyoonekana kwenye picha. Usimruhusu mgonjwa kula, kunywa au kuvuta sigara, kwa sababu kuna uwezekano atahitaji kuchomwa sindano ya nusu kaputi kwa ajili ya upasuaji. Kula au kunywa kunaongeza hatari ya kupaliwa ukiwa kwenye nusu kaputi.
  3. Kama mgonjwa hawezi kukunja mkono, muombe alale chini na uweke nguo kutegemeza kiwiko, kisha subiri usafiri kumpeleka hospitali.kuvunjika mfupa

Kutibu mguu au nyonga iliyovunjika


Lengo kuu ni kulinda eneo lililoumia, omba msaada na tafuta usafiri na kama mguu umevunjika jaribu kuzuia damu kuvuja. Usimuhamishe mgonjwa kabla ya kufunga au kutegemeza eneo lililoumia, isipokuwa kama yuko eneo hatari. Usijaribu kamwe kunyoosha au kurudisha mfupa ndani au sehemu yake, uache kama ulivyo.

  1. Omba msaada na anza kutafuta usafiri wa kwenda kituo cha afya. Kama mfupa umetoboa ngozi na kutokeza nje, vaa glavu kama zipo na funika kidonda kwa kitambaa safi. Kaza au ongeza shinikizo kwenye eneo lililoumia ili kuzuia damu kuvuja, lakini kuwa makini usibonyeze mfupa ulipokatikia.
  2. Kama mguu umevunjika, kunja blanketi, shuka au jaketi alilovaa na ulizungushe kuzunguka eneo lililovunjika. Usimruhusu mgonjwa kula, kunywa, au kuvuta sigara, kwa sababu anaweza kuhitaji kuchomwa sindano ya nusu kaputi kwa ajili ya upasuaji. Kula kitu chochote kunaongeza uwezekano wa kupaliwa wakati wa upasuaji. Kama itabidi kumpeleka mgonjwa kwenye kituo cha afya, hakikisha mguu umetegemezwa vizuri, kwa kitu kigumu ili usichezecheze na kusababisha maumivu na uharibifu zaidi. Tumia ubao mgumu mwepesi, boksi gumu lililokunjwa vizuri, kipande cha plastiki kigumu kinachoweza kutegemeza mguu.
  3. Kwa nyonga iliyovunjika, mlaze mgonjwa chini, ikiwezekana kichwa kiwe chini kidogo usawa wa mwili ili kuruhusu damu kufika vizuri kichwani. Jeraha linalosababisha nyonga kuvunjika au kupasuka linaweza kusababisha damu nyingi kuvuja ndani kwa ndani hata kutishia maisha. Mfunge kwa kutumia blanketi au shuka kuzunguka mwili wake na ikiwezekana weka mto chini ya magoti ili kuyategemeza. Kama itabidi wewe mwenyewe kumuhamisha kwenda kituo cha afya, usimuhamishe mwenyewe, omba msaada. Mgonjwa hapaswi kujikunja, ni vizuri kubebwa kwenye machela ngumu, isiwe ya kamba au kitambaa. Kama hii haiwezekani , jitahidi mgonjwa ababwe bila kukunjwa, ikibidi omba msaada wa watu wengi wakusaidie kumweka kwenye gari. KAMA INAWEZEKANA, SUBIRI GARI LA KITUO CHA FYA, LINA WATAALAMU WALIOFUNZWA ILI WASIONGEZE MADHARA.
  4. Fuatilia na rekodi upumuaji wa mgonjwa, mapigo ya moyo na kama mgonjwa ana fhamu mara kwa mara. Kama nyonga au mfupa mwingine mkubwa umevunjia, jiandae kutibu mshtuko unatokana na kupungukiwa na damu. Kama mgonjwa akipoteza fahamu, kuwa tayari kufanya CPR

Angalia pia: Namna ya kufanya CPR (makala hii itapatikana siku chache zijazo)

Vyanzo

https://medlineplus.gov/ency/article/000001.htm

Shares:
59 Comments
  • Doct.Tungu
    Doct.Tungu
    May 5, 2021 at 2:55 pm

    Understand nice well chief.

    Reply
  • Nidia
    Nidia
    May 14, 2021 at 1:38 pm

    Greetings! Very helpful advice within this article! It is the
    little changes which will make the biggest changes.

    Thanks for sharing!

    Look into my web page – slot online terpercaya

    Reply
  • Shiela
    Shiela
    May 18, 2021 at 2:56 am

    You ought to take part in a contest for one of the finest
    blogs on the net. I will highly recommend this
    website!

    my web blog; informasimudahmenang

    Reply
  • Ernesto
    Ernesto
    May 19, 2021 at 8:00 am

    Quality articles is the key to invite the viewers to go to see the site, that’s
    what this website is providing.

    Feel free to visit my web site – agen infopkv

    Reply
  • Angelia
    Angelia
    May 20, 2021 at 10:40 pm

    Very good blog post. I certainly love this site. Stick with it!

    Feel free to visit my page: bandarq

    Reply
  • Israel
    Israel
    May 21, 2021 at 6:14 am

    What’s up, all the time i used to check web site posts here early in the break
    of day, as i enjoy to find out more and more.

    Feel free to visit my page daftar situs judi

    Reply
  • Carla
    Carla
    May 21, 2021 at 7:13 am

    Pretty nice post. I just stumbled upon your blog and wanted to say that I have truly enjoyed surfing around your blog posts.
    After all I will be subscribing to your rss feed and I hope you write again soon!

    Feel free to surf to my page … agen infopkv

    Reply
  • Genesis
    Genesis
    May 21, 2021 at 3:05 pm

    It’s going to be finish of mine day, however before end I am reading this impressive post to increase my experience.

    Feel free to surf to my webpage; intikartupoker

    Reply
  • Monty
    Monty
    May 21, 2021 at 4:13 pm

    Hi there, I found your site by the use of Google even as searching
    for a similar topic, your web site got here up, it seems to be great.
    I’ve bookmarked it in my google bookmarks.
    Hello there, just changed into alert to your weblog thru Google, and
    located that it’s really informative. I am gonna be careful
    for brussels. I’ll be grateful in the event you proceed this in future.
    A lot of other people shall be benefited
    from your writing. Cheers!

    Feel free to surf to my web blog :: informasimudahmenang

    Reply
  • Nilda
    Nilda
    May 21, 2021 at 5:04 pm

    Very nice blog post. I definitely appreciate this website.
    Keep writing!

    Here is my homepage – pkv games

    Reply
  • Damian
    Damian
    May 21, 2021 at 7:18 pm

    Does your blog have a contact page? I’m having problems locating it but, I’d like to
    shoot you an e-mail. I’ve got some ideas for your blog you
    might be interested in hearing. Either way, great
    site and I look forward to seeing it develop over time.

    Also visit my blog – informasimudahmenang

    Reply
  • Merrill
    Merrill
    May 22, 2021 at 12:02 pm

    Sweet blog! I found it while searching on Yahoo News.
    Do you have any suggestions on how to get listed in Yahoo News?
    I’ve been trying for a while but I never seem to get there!
    Thank you

    My web-site ageninfopkv

    Reply
  • Libby
    Libby
    May 22, 2021 at 12:58 pm

    Today, while I was at work, my sister stole my apple ipad and tested to see if it can survive a
    30 foot drop, just so she can be a youtube sensation. My iPad is
    now broken and she has 83 views. I know this is entirely off
    topic but I had to share it with someone!

    my blog post … ageninfopkv

    Reply
  • Darrell
    Darrell
    May 22, 2021 at 2:58 pm

    I’m truly enjoying the design and layout of your website.
    It’s a very easy on the eyes which makes it much more pleasant for me to come here and visit more often. Did
    you hire out a developer to create your theme? Great
    work!

    Also visit my web site daftar situs judi

    Reply
  • Randi
    Randi
    May 22, 2021 at 4:15 pm

    This post offers clear idea in favor of the new people of blogging, that truly how
    to do blogging.

    My blog post … daftar situs judi

    Reply
  • Delia
    Delia
    May 22, 2021 at 7:00 pm

    Howdy! This is my first visit to your blog! We are a group of volunteers and starting a new project in a community in the same niche.
    Your blog provided us useful information to work on. You have done
    a wonderful job!

    Have a look at my site :: informasimudahmenang

    Reply
  • Hershel
    Hershel
    May 22, 2021 at 8:43 pm

    Wow that was strange. I just wrote an very long comment but after I
    clicked submit my comment didn’t appear.
    Grrrr… well I’m not writing all that over again. Anyway,
    just wanted to say excellent blog!

    Look at my web-site: daftar pkv games

    Reply
  • Vania
    Vania
    May 23, 2021 at 2:25 am

    Thanks for ones marvelous posting! I definitely enjoyed
    reading it, you can be a great author. I will make certain to
    bookmark your blog and will often come back in the foreseeable future.
    I want to encourage continue your great posts, have a nice day!

    Here is my page: judi poker

    Reply
  • Minerva
    Minerva
    May 23, 2021 at 6:10 am

    Thanks for one’s marvelous posting! I certainly enjoyed reading it, you will
    be a great author.I will be sure to bookmark your blog and
    may come back down the road. I want to encourage you to ultimately continue your great posts, have a nice morning!

    Here is my site poker pulsa

    Reply
  • Imogene
    Imogene
    May 23, 2021 at 6:26 am

    I am sure this post has touched all the internet visitors,
    its really really nice piece of writing on building up new weblog.

    my webpage; poker online

    Reply
  • Barry
    Barry
    May 23, 2021 at 8:18 am

    I got this site from my friend who informed me regarding this website
    and at the moment this time I am visiting this web page and reading
    very informative content here.

    Here is my blog post :: inti kartu poker

    Reply
  • Edith
    Edith
    May 23, 2021 at 3:32 pm

    I think this is among the most significant information for me.
    And i am glad reading your article. But should remark on few general things, The site style is great, the
    articles is really excellent : D. Good job,
    cheers

    My web page: daftar situs poker pulsa

    Reply
  • Wilton
    Wilton
    May 23, 2021 at 3:54 pm

    Hey there! Would you mind if I share your blog with my twitter group?
    There’s a lot of folks that I think would really enjoy your content.
    Please let me know. Thank you

    Stop by my web page: daftar situs poker

    Reply
  • Clarita
    Clarita
    May 23, 2021 at 4:12 pm

    Everything is very open with a really clear explanation of the issues.
    It was really informative. Your site is very helpful.
    Thank you for sharing!

    My web blog: situs poker pulsa

    Reply
  • Maxwell
    Maxwell
    May 23, 2021 at 5:35 pm

    I believe that is one of the most significant info
    for me. And i’m happy studying your article.

    But want to statement on few common issues,
    The web site style is ideal, the articles is really excellent : D.
    Just right task, cheers

    Have a look at my site informasimudahmenang

    Reply
  • Jefferey
    Jefferey
    May 23, 2021 at 5:38 pm

    Hi there it’s me, I am also visiting this web site on a regular basis, this web page is truly nice and the visitors are genuinely sharing pleasant thoughts.
    buy essay online

    Reply
  • Kam
    Kam
    May 23, 2021 at 6:09 pm

    Awesome blog! Is your theme custom made or did you download it
    from somewhere? A theme like yours with a few simple tweeks
    would really make my blog jump out. Please let me know
    where you got your design. With thanks

    Visit my blog post bandarq

    Reply
  • Mahalia
    Mahalia
    May 23, 2021 at 8:08 pm

    Hi, its fastidious article about media print, we all know media
    is a great source of data.

    Take a look at my site :: inti kartu poker

    Reply
  • Sue
    Sue
    May 23, 2021 at 8:24 pm

    Next time I read a blog, Hopefully it does not
    disappoint me as much as this one. I mean, Yes,
    it was my choice to read, however I actually believed
    you would have something interesting to say. All I hear is a bunch of whining about something you can fix if you
    weren’t too busy seeking attention.

    my website … bandar judi online

    Reply
  • Darrin
    Darrin
    May 24, 2021 at 11:23 am

    Attractive section of content. I just stumbled upon your web site and in accession capital to assert that I get in fact enjoyed account your blog posts.
    Any way I will be subscribing to your feeds and even I achievement you access consistently rapidly.

    Take a look at my web blog … intikartupoker

    Reply
  • Cassandra
    Cassandra
    May 24, 2021 at 1:56 pm

    I got this website from my buddy who informed me concerning this web page and now this time I am visiting this website and reading
    very informative posts at this place.

    my web site – ninjapkv

    Reply
  • Sue
    Sue
    May 24, 2021 at 6:18 pm

    Its excellent as your other posts :D, thanks for putting up.

    Check out my web blog; ninja pkv

    Reply
  • Leora
    Leora
    May 24, 2021 at 6:39 pm

    Thanks for finally writing about > WikiElimu | KUTEGUKA AU KUVUNJIKA MFUPA < Loved it!

    My blog post – agen infopkv

    Reply
  • Collin
    Collin
    May 24, 2021 at 10:35 pm

    I am not sure where you’re getting your info, but great topic.
    I needs to spend some time learning more or understanding more.
    Thanks for wonderful information I was looking for this information for my mission.

    My website; inti kartu poker

    Reply
  • Dong
    Dong
    May 28, 2021 at 9:16 pm

    Heya! I just wanted to ask if you ever have
    any issues with hackers? My last blog (wordpress) was hacked and I ended up losing months of hard work due to no backup.
    Do you have any solutions to stop hackers?

    Look at my website … Idnpoker.Com

    Reply
  • Reda
    Reda
    June 1, 2021 at 3:26 pm

    Link exchange is nothing else except it is only placing the other person’s weblog link on your page at appropriate place and other person will also do
    similar for you.

    Look at my website: 메이저놀이터

    Reply
  • Ellie
    Ellie
    June 1, 2021 at 7:32 pm

    Hey there! I just wanted to ask if you ever have any trouble with hackers?
    My last blog (wordpress) was hacked and I ended up losing many months of hard work due to no back up.
    Do you have any solutions to protect against hackers?

    my website deposit sv388 pulsa

    Reply
  • Faye
    Faye
    June 1, 2021 at 11:27 pm

    Having read this I believed it was very informative.

    I appreciate you finding the time and effort to put this content together.
    I once again find myself personally spending a lot of time both
    reading and commenting. But so what, it was still worthwhile!

    my blog … dingdongtogel

    Reply
  • Zack
    Zack
    June 2, 2021 at 8:52 am

    I am extremely impressed along with your writing talents as smartly as with the format to your weblog.
    Is this a paid theme or did you customize it yourself?
    Either way stay up the nice quality writing, it’s
    uncommon to look a great weblog like this one these days..

    Here is my site sv388 bonus deposit

    Reply
  • Kelli
    Kelli
    June 4, 2021 at 12:06 pm

    Hey I know this is off topic but I was wondering if you
    knew of any widgets I could add to my blog that automatically tweet my newest twitter updates.
    I’ve been looking for a plug-in like this for quite
    some time and was hoping maybe you would have some experience with something like this.
    Please let me know if you run into anything. I truly enjoy reading your
    blog and I look forward to your new updates.

    my website: idnpoker

    Reply
  • Bernd
    Bernd
    June 4, 2021 at 10:28 pm

    Does your site have a contact page? I’m having problems locating it
    but, I’d like to shoot you an email. I’ve got some creative
    ideas for your blog you might be interested in hearing.
    Either way, great site and I look forward to seeing it develop over
    time.

    Check out my homepage; idn poker play

    Reply
  • Chante
    Chante
    June 5, 2021 at 12:18 am

    I for all time emailed this weblog post page to all my friends, since if
    like to read it afterward my links will too.

    Also visit my web page: idn poker play

    Reply
  • Austin
    Austin
    June 5, 2021 at 4:07 am

    Good day very nice web site!! Man .. Beautiful .. Superb ..
    I’ll bookmark your blog and take the feeds also?
    I am happy to find a lot of useful information here in the put up, we want
    work out extra techniques on this regard, thanks for sharing.
    . . . . .

    Feel free to surf to my webpage; sbobet casino

    Reply
  • Raina
    Raina
    June 5, 2021 at 12:03 pm

    Nice replies in return of this matter with genuine arguments and explaining everything on the topic of
    that.

    My web-site :: dingdong togel

    Reply
  • Star
    Star
    June 6, 2021 at 1:13 am

    Your method of describing the whole thing in this piece of writing is genuinely nice, all can effortlessly understand it, Thanks a lot.

    Look into my page – pragmatic slot

    Reply
  • Ultra Fast Keto Boost
    Ultra Fast Keto Boost
    June 6, 2021 at 2:32 am
  • Lynell
    Lynell
    June 8, 2021 at 4:08 pm

    Heya i’m for the first time here. I came across this board and I find It really useful & it helped me out a lot.

    I hope to give something back and help others like you aided me.

    Also visit my web page: situs sbobet

    Reply
  • Markus
    Markus
    June 8, 2021 at 7:08 pm

    This piece of writing is truly a good one it assists new internet users, who are wishing for blogging.

    Here is my blog; idn poker terkini

    Reply
  • Lori
    Lori
    June 9, 2021 at 9:06 am

    Can you tell us more about this? I’d care to find out more details.

    Also visit my web blog … agen joker123 slot

    Reply
  • Morgan
    Morgan
    June 14, 2021 at 7:34 pm

    It’s remarkable for me to have a web site, which is beneficial designed
    for my knowledge. thanks admin

    my blog post … s128.net

    Reply
  • Korey
    Korey
    June 15, 2021 at 11:18 am

    WOW just what I was searching for. Came here by searching for
    joker388

    my site – joker388.net

    Reply
  • Alexis
    Alexis
    June 16, 2021 at 7:34 am

    Pretty portion of content. I just stumbled upon your
    web site and in accession capital to say that I get in fact loved account your blog posts.
    Anyway I’ll be subscribing on your augment and even I achievement you
    get admission to constantly rapidly.

    my web blog; idn play

    Reply
  • Alison
    Alison
    June 24, 2021 at 2:10 am

    Excellent weblog here! Additionally your site loads up very fast!

    What host are you the usage of? Can I am getting your affiliate link to your host?
    I want my web site loaded up as quickly as yours lol

    My website … download slot pragmatic

    Reply
  • Candelaria
    Candelaria
    June 24, 2021 at 5:31 am

    Greetings! Very useful advice within this article! It is the
    little changes that make the most significant changes.
    Thanks for sharing!

    Also visit my site: slot joker123 online

    Reply
  • Kerrie
    Kerrie
    June 24, 2021 at 12:12 pm

    Thanks very nice blog!

    Feel free to surf to my blog post :: sbobet88.com

    Reply
  • Eugene
    Eugene
    June 24, 2021 at 6:13 pm

    What’s up, this weekend is good designed for me,
    since this time i am reading this enormous informative post here at my residence.

    my homepage slot 88

    Reply
  • Carole
    Carole
    June 26, 2021 at 1:51 pm

    I have read so many content about the blogger lovers except this piece of writing is really a fastidious article, keep it up.

    Take a look at my web blog … vivo slot

    Reply
  • PrinceMoult
    PrinceMoult
    March 12, 2025 at 1:29 pm

    Чтобы увеличить ссылочную массу, можно выполнить прогон хрумером по трастовым площадкам.

    Reply
  • Donaldchory
    Donaldchory
    March 15, 2025 at 10:04 am

    Equilibrado
    Sistemas de balanceo: fundamental para el rendimiento suave y eficiente de las maquinas.

    En el entorno de la tecnologia actual, donde la efectividad y la confiabilidad del dispositivo son de alta importancia, los dispositivos de balanceo cumplen un tarea crucial. Estos equipos dedicados estan disenados para calibrar y asegurar piezas dinamicas, ya sea en maquinaria de fabrica, transportes de traslado o incluso en dispositivos de uso diario.

    Para los profesionales en mantenimiento de aparatos y los especialistas, trabajar con sistemas de ajuste es crucial para garantizar el operacion suave y estable de cualquier mecanismo movil. Gracias a estas opciones tecnologicas sofisticadas, es posible minimizar significativamente las oscilaciones, el zumbido y la tension sobre los cojinetes, mejorando la vida util de piezas valiosos.

    Tambien significativo es el tarea que tienen los aparatos de ajuste en la atencion al cliente. El apoyo profesional y el reparacion constante aplicando estos equipos posibilitan ofrecer prestaciones de gran calidad, aumentando la satisfaccion de los compradores.

    Para los titulares de negocios, la financiamiento en sistemas de balanceo y detectores puede ser clave para incrementar la eficiencia y productividad de sus dispositivos. Esto es sobre todo importante para los empresarios que administran reducidas y modestas empresas, donde cada aspecto importa.

    Por otro lado, los dispositivos de equilibrado tienen una extensa uso en el ambito de la seguridad y el supervision de estandar. Posibilitan identificar posibles fallos, evitando arreglos costosas y averias a los sistemas. Mas aun, los datos generados de estos equipos pueden utilizarse para maximizar procesos y potenciar la exposicion en sistemas de exploracion.

    Las zonas de utilizacion de los sistemas de ajuste abarcan variadas areas, desde la manufactura de bicicletas hasta el seguimiento ambiental. No importa si se refiere de importantes producciones manufactureras o reducidos locales domesticos, los equipos de ajuste son indispensables para asegurar un rendimiento optimo y sin presencia de detenciones.

    Reply
Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *