Hatari za uvutaji wa sigara Uvutaji wa sigara huongeza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo. Baadhi ya bidhaa zinazotumika kutengeneza sigara husababisha kusinyaa na hata kuziba kwa mishipa ya damu,
Maelezo ya jumla Mkamba (bronchitis) ni kuvimba kwa njia kuu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu. Mkamba unaweza kuwa wa muda mfupi tu (acute) au sugu (chronic), hii inamaanisha kuwa