Saratani Saratani ni ugonjwa unaotokana na seli za mwili zilizopoteza mfumo wake wa kugawanyika na hivyo hazipo katika hali yake ya kawaida. Huweza kugawanyika bila mpangilio maalum na kuharibu mkusanyiko
KANSA
Hatari za uvutaji wa sigara Uvutaji wa sigara huongeza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo. Baadhi ya bidhaa zinazotumika kutengeneza sigara husababisha kusinyaa na hata kuziba kwa mishipa ya damu,
Maelezo ya jumla Saratani ya shingo ya mlango wa kizazi (cervical cancer) ni aina ya saratani ambayo huathiri tishu za shingo ya kizazi (shingo ya kizazi ni kiungo kinachounganisha uke
Maelezo ya jumla Kibofu (bladder) hupatikana kwenye sehemu ya chini ya tumbo, na kazi yake kubwa ni kuhifadhi mkojo. Saratani ya kibofu (bladder cancer) hutokea kwenye utando wa ndani wa
Maelezo ya jumla Kuchunguza matiti yako mwenyewe ni sehemu muhimu ya afya kwa wanawake wengi. Inawasaidia kujua matiti yao yalivyo katika hali ya kawaida, ili kunapotokea mabadiliko, wazungumze na mtoa
Maelezo ya jumla Saratani ya matiti ni kansa ya matiti inayotokea kwenye tishu za matiti. Inatokea kwa wanaume na wanawake. Saratani ya matiti kwa wanaume hutokea kwa nadra. Dalili zake
Maelezo ya jumla Saratani ya njia ya haja kubwa / Kansa ya njia ya haja kubwa ni kansa kwenye mfumo wa kumeng’enya chakula. Mkundu ni sehemu ya mfumo wa kumeng’enya
Maelezo ya jumla Saratani ya mapafu ni kansa inayowapata watu wengi duniani kote. Ni kansa inayoongoza kwa kusababisha vifo kwa wanaume na wanawake duniani. Uvutaji wa sigara ni sababu kuu