Magonjwa ya ndani ya mwili KICHOMI : Dalili, Sababu, Matibabu, Kuzuia Maelezo ya jumla Kichomi ni maumivu ya kifua yanayotokea hasa wakati wa kuvuta pumzi ndani au kukohoa, maumivu haya husababishwa na kuvimba kwa utando mdogo (pleural) unaofunika kifua na mapafu. DrMniko5 years ago5 years agoKeep Reading