Maelezo ya jumla Kisukari aina ya 1 huwapata zaidi watoto na vijana wadogo. Kisukari ni ugonjwa ambao mgonjwa huwa na kiwango cha juu cha sukari kwenye damu kuliko kawaida.Mwili wa
Maelezo ya jumla Shinikizo la juu la damu, ni hali ya muda mrefu ambapo shinikizo la damu katika mishipa huwa juu saana. Presha (Shinikizo la damu) ni nguvu ya damu