Maelezo ya jumla Ugonjwa wa kisukari (diabetes) ni ugonjwa unaoleta matatizo ya kimetaboliki ambayo husababisha kuwepo kwa viwango vya juu vya sukari katika damu kwa muda mrefu. Dalili za ugonjwa
Maelezo ya jumla Shinikizo la juu la damu, ni hali ya muda mrefu ambapo shinikizo la damu katika mishipa huwa juu saana. Presha (Shinikizo la damu) ni nguvu ya damu