Maelezo ya jumla Yawezekana mwanao amewahi kusumbuka au umewahi kusikia rafiki au ndugu akilalamika kuwa mtoto wake anaharisha na haelewi ni kitu gani anaweza kufanya. Makala hii inalenga kuwa msaada
Lishe
Maelezo ya jumla Mgonjwa wa kisukari huwa na kiwango cha juu cha sukari kwenye damu kuliko ilivyo kawaida. Kisukari aina ya 2, ndiyo aina ya kisukari inayowapata watu wengi zaidi,
Maelezo ya jumla Uastigmati (Astigmatism) ni dosari katika jicho/lenzi unaozuia fokasi sahihi ya mwanga kwenye retina (refrative error). Retina ni sehemu inayopokea nuru ndani ya jicho. Mtu mwenye uastigmati haoni
Maelezo ya jumla Kiungulia (heartburn) ni hali ya kuhisi mchomo (maumivu kama moto) unaotokea nyuma ya mfupa wa kidari. Kwa kawaida maumivu haya huanzia kwenye umio (oesophagus) na kupanda kifuani
Maelezo ya jumla Kufunga choo (constipation) ni hali ya kushindwa kupata kinyesi (kunya) kwa angalau mara tatu kwa wiki. Mtu akifunga choo, kinyesi huwa kigumu, kidogo, na kigumu kutoka. Baadhi
Maelezo ya jumla UKIMWI – Upungufu wa kinga mwilini- ni ugonjwa unaopata mtu baada virusi vya VVU kuharibu mfumo wa kinga yako ya mwili. Kwa kawaida, mfumo wako wa kinga
Maelezo ya jumla Kitambi (obesity) humaanisha kuwa una mafuta mengi mwilini. Kuwa na kitambi si sawa na kuwa na uzito mkubwa (overweight), kuwa na uzito mkubwa humaanisha mtu ana uzito
Maelezo ya jumla Tatizo la kujipinda miguu au matege (bowlegs) huchukuliwa kuwa jambo la kawaida kwa watoto chini ya miezi 18. Mtu mwenye tatizo hili akisimama mguu sawa magoti hayagusani,
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa beriberi ni ugonjwa uletwao na ukosefu wa vitamini B1 mwilini (vitamini B1/thiamine). Nini dalili za ugonjwa wa beriberi? Dalili za ugonjwa wa beriberi kavu (dry
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa kisukari (diabetes) ni ugonjwa unaoleta matatizo ya kimetaboliki ambayo husababisha kuwepo kwa viwango vya juu vya sukari katika damu kwa muda mrefu. Dalili za ugonjwa
Load More