Maelezo ya jumla Mara nyingi kunapokuwepo na damu kwenye kinyesi huashiria kuwa kuna tatizo au jeraha kwenye mfumo wa kumeng’enya chakula. Damu kwenye kinyesi inaweza kutoka mahali popote kwenye mfumo
MADONDA YA TUMBO
Maelezo ya jumla Msongo (Stress) hutokana na wazo lolote au tukio lolote linalokufanya uhisi huzuni, hasira, au hofu. Msongo/ mfadhaiko humpata mtu akipata shida/taabu, dhiki au matatizo fulani. Wasiwasi (anxiety)
Maelezo ya jumla Vidonda vya tumbo (peptic ulcers) ni vidonda kwenye ukuta wa tumbo au duodeni (mwanzo wa utumbo mdogo). Vidonda vinawapata watu wengi siku hizi: Mmoja kati ya Watu