HaMagonjwa ya moyo Magonjwa ya moyo yanahusisha yale magonjwa yote yanayoathiri moyo na mishipa yake. Haya Magonjwa ya moyo yanajumuisha magonjwa yanayoathiri mishipa ya moyo, mshtuko wa moyo, kushindwa kwa
MAGONJWA YA MOYO
Hatari za uvutaji wa sigara Uvutaji wa sigara huongeza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo. Baadhi ya bidhaa zinazotumika kutengeneza sigara husababisha kusinyaa na hata kuziba kwa mishipa ya damu,
Maelezo ya jumla Echocardiogram hutumia mawimbi ya sauti ili kuzalisha picha ya moyo. Kipimo hiki humruhusu daktari kuuchunguza moyo ukipiga na kusukuma damu. Daktari anaweza kutumia picha za Echo kutambua
Maelezo ya jumla Kupandikiza moyo (heart transplant) ni upasuaji unaofanyika ili kuondoa moyo ulioharibika au mgonjwa na badala yake kupandikiza moyo wenye afya wa mtoaji (mfadhili). Kupata moyo kwa ajili
Maelezo ya jumla Shambulio la moyo au mshtuko wa moyo hutokea pindi tu mtiririko wa damu kuelekea kwenye misuli ya moyo unapokatishwa. Ikiwa mtiririko wa damu haukurejeshwa haraka misuli ya moyo