Maelezo ya jumla Mtindio wa ubongo (cerebral palsy),ni hali inayosababishwa na matatizo ya ubongo inayopelekea kuvurugika kwa shughuli za mfumo wa neva kama vile kujongea, kujifunza, kusikia, kuona na kufikiri.
Magonjwa ya ndani ya mwili
Maelezo ya jumla Magonjwa ya ngono ni magonjwa yanayoambukiza kwa njia ya tendo la kujamiiana na mtu aliyeambukizwa magonjwa hayo bila kutumia kondomu. Matendo ya kujamiiana hujumuisha kuingiza uume ukeni au
Maelezo ya jumla Homa ya dengue (dengue fever) ni ugonjwa unaosababishwa na virusi wanaoenezwa na mbu. Je, nini dalili za homa ya dengue? Homa ya dengue huanza na homa ya
Maelezo ya jumla Ugumba (Infertility) ni hali ya kutoweza kupata ujauzito katika kipindi cha mwaka mmoja au zaidi kwa wenzi ambao wamekuwa wakifanya mapenzi bila kutumia njia zozote za uzazi
Maelezo ya jumla Kufunga choo (constipation) ni hali ya kushindwa kupata kinyesi (kunya) kwa angalau mara tatu kwa wiki. Mtu akifunga choo, kinyesi huwa kigumu, kidogo, na kigumu kutoka. Baadhi
Maelezo ya jumla Maumivu ya tumbo ni maumivu yanayotokea popote kati ya kifua na kinena. Dalili za maumivu ya tumbo? Karibu kila mtu hupata maumivu ya tumbo kwa wakati mmoja
Maelezo ya jumla Homa (fever) ni dalili inayotajwa mara kwa mara kuelezea ongezeko la joto la mwili kuliko kiwango cha kawaida (kiwango cha kawaida cha joto la mdomoni ni 36.8
Maelezo ya jumla Kibole (appendicitis) ni uvimbe wa kidole tumbo (appendix) unaosababishwa na maambukizi. Kidole tumbo ni kiungo kidogo kinachoonekana kama kidole kilichopachikwa kwenye sehemu ya mwanzo ya utumbo mpana.
Maelezo ya jumla Tezi dume (prostate), ni tezi iliyo kwenye kizazi cha mwanaume inayozalisha maji maji yanayobeba manii/shahawa. Inaizunguka urethra, mrija unaotoa mkojo kwenye kibofu kwenda nje. Tezi dume ya