Maelezo ya jumla Kichomi ni maumivu ya kifua yanayotokea hasa wakati wa kuvuta pumzi ndani au kukohoa, maumivu haya husababishwa na kuvimba kwa utando mdogo (pleural) unaofunika kifua na mapafu.
Maelezo ya jumla Chembe ya moyo (angina) ni aina ya usumbufu au maumivu ya kifua ambayo yanatokea kama matokeo ya upungufu wa damu inayopeleka okisijeni kwenye misuli ya moyo, okisijeni