Maelezo ya jumla Sonona (Depression) ni hali ya kuhisi huzuni, kushuka moyo na kukosa furaha. Wengi wetu hujihisi hivi kwa wakati mmoja au mwingine kwa muda mfupi. Ugonjwa wa sonona
Maelezo ya jumla Maumivu ya mgongo ni tatizo kuumwa mgongo linalowapata watu wengi sana. Katika kipindi chote cha maisha ya mwanandamu ,watu 8 kati ya 10 huathiriwa na tatizo hili.