Shinikizo la juu la damu Sababu hasa za shinikizo la juu la damu/ presha/ shinikizo kubwa la damu kwa sehemu kubwa hazijulikani. Hata hivyo shinikizo la damu hubadilika mara kwa
SHINIKIZO LA JUU LA DAMU
Maelezo ya jumla Ugonjwa wa polio ni ugonjwa unaoathiri mishipa ya fahamu na kusababisha kupooza. Ugonjwa huu husababishwa na virusi (poliovirus) wanaoishi kwenye mfumo wa kumeng’enya chakula. Si kila mtu
Maelezo ya jumla Ulevi (Alcoholism) na kunywa pombe kupita kiasi (Alcohol abuse) ni matatizo mawili tofauti. Ulevi ni pale unapopata dalili za kimwili za uraibu wa pombe lakini ukaendelea kunywa
Maelezo ya jumla Kiharusi (stroke) ni hali inayomtokea mtu kunapokuwepo na kizingiti kinachozuia damu kufika katika sehemu fulani ya ubongo. Wakati mwingine kiharusi huitwa "shambulio la ubongo." Je! Nini dalili