Maelezo ya jumla Ngiri (hernia) ni hali inayotokea kama kuna uwazi au udhaifu kwenye ukuta wa tumbo na kusababisha viungo vya ndani ya tumbo kuchoropoka na kutokeza nje ya ukuta
Maelezo ya jumla Fistula kwenye njia ya haja kubwa ni mferiji usio wa kawaida unaotengenezeka kuunganisha njia ya haja kubwa na ngozi. Watu waliokuwa na jipu kwenye njia ya haja