Nini Maana Kufunga Kizazi Mwanamke? Kufunga kizazi mwanamke ni njia ya kudumu ya kuzuia mimba kwa wanawake ambao hawahitaji kupata watoto tena. Kuna njia 2 za upasuaji zinazotumika zaidi: Upasuaji
uzazi wa mpango
Kitanzi Chenye Madini ya Shaba ni Nini? Kitanzi chenye madini ya shaba ni kiplastiki kilichozungushiwa madani ya shaba. Mtoa huduma ya afya aliyepata mafunzo maalum huingiza kitanzi ndani ya kizazi
Sindano za Kila Mwezi za Kuzuia Mimba ni Nini? Sindano za kila mwezi za kuzuia mimba zina vichocheo – projestini na estrojeni – kama vilivyo vichocheo vya asili vya projestini
Sindano Zenye Kichocheo Kimoja (Sindano za kila baada ya miezi 3) ni Nini? Sindano zenye kichocheo kimoja za kuzuia mimba ni sindano za kupanga uzazi anazochomwa mwanamke kila baada ya
Vidonge vya Dharura vya Kuzuia Mimba ni nini? Vidonge vya dharura vya kuzuia mimba ni vidonge ambavyo vina projestini pekee, au projestini na estrojeni kwa pamoja – vichocheo vilivyo kama
Vidonge Vyenye Vichocheo Viwili ni Nini? Vidonge vyenye vichocheo viwili vina kiasi kidogo cha vichocheo vya aina mbili projestini na estrojeni vilivyo kama vichocheo vya asili vya projesteroni na estrojeni