Maelezo ya jumla

Upungufu wa damu (anemia) ni hali ambayo humpata mtu,akiwa na upungufu wa seli nyekundu za damu. Seli nyekundu za damu hubeba oksijeni ambayo hutumiwa na tishu zote mwilini.

Dalili za upungufu wa damu ni zipi?   

Upungufu wa damu husababishwa na nini?    

  • Japokuwa kuna sehemu nyingi zinazotengeza seli nyekundu za damu mwilini, kazi kubwa ya kutengeneza seli nyekundu za damu hufanyika kwenye uboho wa mifupa. Uboho wa mifupa ni tishu laini inayopatikana katikati ya mfupa inayosaidia kuunda seli za damu.
  • Seli nyekundu za damu zinaweza kuishi kwa muda wa siku 90 mpaka 120. Sehemu kadhaa za mwili wako husaidia kuziondoa seli nyekundu za damu zilizozeeka. Homoni inayoitwa erythropoietin inayotengenezwa kwenye figo huuashiria uboho wa mifupa kutengeneza seli nyekundu za damu.
  • Hemoglobini ni protini yenye kubeba oksijeni iliyo ndani ya seli nyekundu za damu. Inazipatia seli nyekundu za damu rangi yao nyekundu. Watu wenye anemia (upungufu wa damu) hawana hemogloboni ya kutosha.
  • Sababu zinazoweza kusababisha anemia ni pamoja na:       
    • Madawa fulani fulani      
    • Magonjwa sugu/ ya muda mrefu kama vile kansa au yabisi-baridi.
      • Jenetiki: Aina fulani za upungufu wa damu , kama vile ugonjwa wa seli mundu, thalassemia, zinaweza kurithiwa        
    • Figo kushindwa kufanya kazi
    • Kupoteza damu (kwa mfano, kutokwa damu ya hedhi kwa muda mrefu au vidonda vya tumbo)        
    • Mlo mbaya        
    • Mimba/ujauzito       
    • Matatizo ya uboho wa mifupa kama vile saratani, mfano: ”lymphoma”, kansa ya damu, au ”multiple myeloma”
    • Matatizo ya mfumo wa kinga ambayo husababisha uharibifu wa seli za damu, matatizo haya husababisha mwili kuharibu seli za damu kabla hazijazeeka.
    • Upasuaji wa tumbo au matumbo unaweza kusababisha kupunguza kunyonywa kwa madini ya chuma, vitamini B12, au asidi ya folic ambazo zinahitajika kwa ajili ya utengenezaji wa seli nyekundu za damu.
    • Upungufu wa homoni ya thyroid inayotengenezwa na tezi dundumio ”thyroid gland”      
    • Upungufu wa ‘Testosterone”

Ukiwa na upungufu wa damu ni wakati gani utafute matibabu ya haraka?

Mwone mtoa huduma ya afya ikiwa una dalili yoyote ya upungufu wa damu, au kutokwa damu isivyo kawaida.

Utambuzi kuwa una upungufu wa damu   

  • Daktari atafanya uchunguzi wa kimwili, na anaweza kupata:        
    • Ngozi yenye rangi iliyofifia.      
    • Mapigo ya moyo yanayoenda mbio
    • Moyo unaonung’unika (aina fulani za sauti kwenye moyo anazosikia daktari, moyo ukiwa na shida/taabu/tatizo)   
  • Vipimo vya damu vinavyofanyika ili kutambua aina na chanzo cha upungufu wa damu ni pamoja na:
    • Kupima viwango vya  vitamini B12, folic asidi, na vitamini na madini mengine  kwenye damu.      
    • Kupima kiwango cha seli nyekundu za damu na kiwango cha hemoglobini.        
    • Kupima kiwango cha Reticulocyte (ni seli nyekundu za damu ambazo ni changa, bado hazijakomaa ,hizi huongezeka kwenye damu kama uboho unatengeneza seli kwa haraka kupita kiasi ili kufidia upungufu uliopo )       
    • Kupima kiwango cha ferritin        
    • Kupima kiwango cha chuma mwilini (chuma ni kiambata muhimu katika utengenezaji wa seli nyekundu za damu)
  • Vipimo vingine vinaweza kufanywa kutambua matatizo mengine ambayo yanaweza kusababisha upungufu wa damu.

Uchaguzi wa matibabu ya upungufu wa damu

Matibabu yanapaswa kuelekezwa kutibu sababu iliyosababisha upungufu wa damu (anemia), na yanaweza kujumuisha:    

  • Kuongezewa damu    
  • Kupewa dawa kama Corticosteroids au dawa nyingine zinazozuia mfumo wa kinga mwili kufanya kazi, ili kuunguza uharibifu wa seli nyekundu.    
  • Kupewa Erythropoietin, dawa ambayo husaidia uboho wa mifupa yako kutengeneza seli zaidi za damu,kama kuna upungufu wa homoni hiyo.    
  • Kutumia vidonge vya chuma, vitamini B12, asidi ya folic, au vitamini na madini mengine,kama imegundulika kuwa yamepungua.

Ili kupata matibabu yaliyo sahihi ya upungufu, daktari kwanza atafanya vipimo vyote anavyoona vinafaa ili kugundua chanzo cha anemia ,na kisha matibabu yatafanyika ili kutibu au kurekebisha chanzo cha tatizo.

Nini cha kutarajia kama una upungufu wa damu ?

Matokeo na matarajio hutegemea sababu/chanzo cha upungufu wa damu.

Matatizo yanayoweza kutokana na anemia

Upungufu mkali wa damu unaweza kusababisha upungufu wa oksijeni mwilini ,kwa sababu moyo unahitaji okisijeni kufanya kazi ,upungufu huo utasababisha mshtuko wa moyo na inaweza kusababisha kifo.

Vyanzo

http://www.nlm.nih.gov/medlineplus/ency/article/000560.htm

Olympics: All the up to date news, videos and results Mathematics of Casino Carnival Games – Mark Bollman – Google Books

New code was sent to your email. Weiter zu Google Play ». In live games, unlike usual ones, it makes sense to use different strategies of the game, including card counting. Get the best live dealer casino bonuses, including tempting no deposit deals and exclusive sign-up bonuses! Please contact customer support for more information Something went wrong, please try again.

Wheel of Wishes Online Poker | Play Online Poker Games Anywhere | partypoker

Webcams: The user experience is everything when playing at a live casino. Trying out the different titles that are on offer and just playing for fun. Google Chrome. Scarab Kingdom.

How Does the Game Work? Casino News: Breaking Casino & Gambling Stories () – newcasinos-au.com

The customer has been at the heart of everything we do since we first set up in LevelUp Casino. Some casino software providers collaborate with actual land-based casinos to offer players the chance to experience the thrill of actually playing at that casino, but even then the onus of setting up the equipment and filming and then streaming the visuals is on the provider. The next step is to combine it with a graphical user interface GUI so that you can respond at your end as you see the cards dealt, i.

Discover the Best Australian Live Casino Bonus Deals The Hippodrome Casino Live Entertainment Venue – Hippodrome Casino

Mind that not all games can be played when playing online casinos in Australia, as some regulators prohibit offering gambling services to Australia. Mad Max Fury Road. One thing to keep in mind: even if the game is available from a mobile device, the overall experience will definitely be different from playing at a desktop casino.

25+ Best Live Online Casinos 2021 Live Casinos Australia 🤑 !

Can I cash out my casino bonuses instantly? The live dealers are the true worth of live dealer games. According to their law, operators licensed on the territory of these countries can only be considered legal.

Shares:
Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *